M Markomx JF-Expert Member Joined Apr 23, 2016 Posts 703 Reaction score 702 Apr 25, 2016 #1 Habari wanajamv? Ni miaka kama miwili sasa naona kunaongezeko la ukuaji wa kifriji changu, ningependa kujua ni mazoez gani husababisha kubalance tumbo, msaada please
Habari wanajamv? Ni miaka kama miwili sasa naona kunaongezeko la ukuaji wa kifriji changu, ningependa kujua ni mazoez gani husababisha kubalance tumbo, msaada please
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,706 Reaction score 34,793 Apr 25, 2016 #2 Ni mzoezi ya dk 10 tu ukizingatia yatasaidia....... Kila la kheri
M Markomx JF-Expert Member Joined Apr 23, 2016 Posts 703 Reaction score 702 Apr 25, 2016 Thread starter #3 ok,nashukuru
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,154 Reaction score 7,083 Apr 25, 2016 #4 Mjep said: Ni mzoezi ya dk 10 tu ukizingatia yatasaidia....... Kila la kheri Click to expand... Ngoja nianze muda huu
Mjep said: Ni mzoezi ya dk 10 tu ukizingatia yatasaidia....... Kila la kheri Click to expand... Ngoja nianze muda huu
M Markomx JF-Expert Member Joined Apr 23, 2016 Posts 703 Reaction score 702 Apr 25, 2016 Thread starter #5 sorry,haya mazoez ni continous coz minimtumiaji mzuri wa vile vinywaji vinavyokatwa kodi sana tz,isije kua kaz bule
sorry,haya mazoez ni continous coz minimtumiaji mzuri wa vile vinywaji vinavyokatwa kodi sana tz,isije kua kaz bule
Jasnira JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 608 Reaction score 382 Apr 25, 2016 #6 Angalia na namna yako ya ulaji. Mazoezi yaendane sambamba na diet
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Apr 25, 2016 #7 Markomx said: sorry,haya mazoez ni continous coz minimtumiaji mzuri wa vile vinywaji vinavyokatwa kodi sana tz,isije kua kaz bule Click to expand... Hapana...fanya siku moja tu kitambi chako kitaisha!!...watu wameacha kazi zao wanakushauri halafu we unaleta utoto
Markomx said: sorry,haya mazoez ni continous coz minimtumiaji mzuri wa vile vinywaji vinavyokatwa kodi sana tz,isije kua kaz bule Click to expand... Hapana...fanya siku moja tu kitambi chako kitaisha!!...watu wameacha kazi zao wanakushauri halafu we unaleta utoto
noel oga JF-Expert Member Joined Oct 20, 2015 Posts 272 Reaction score 219 Apr 26, 2016 #8 kunywa maji ya uvuguvugu ya limao lita 1 asbh sana (4am to 6 am) kila siku. weka limao nne ndan ya jagi lako.utaanza kuona mabadiliko.ahsante
kunywa maji ya uvuguvugu ya limao lita 1 asbh sana (4am to 6 am) kila siku. weka limao nne ndan ya jagi lako.utaanza kuona mabadiliko.ahsante
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Apr 26, 2016 #9 Sasa Smartphone yako utafutia wapi kioo kikiwa na vumbi?
fakalava JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 4,459 Reaction score 6,027 Apr 26, 2016 #10 Njia rahisi ni kuangalia ulaji wako, kula kiasi lakini hakikisha ni mlo ulio balanced. Kuwa na ratiba ya kufunga (fasting), na hakikisha unakunywa maji ya kutosha. Kumbuka unaweza kufanya mazoezi lakini ukaambulia patupu kama hautabadili utaratibu wako wa kula na kunywa.
Njia rahisi ni kuangalia ulaji wako, kula kiasi lakini hakikisha ni mlo ulio balanced. Kuwa na ratiba ya kufunga (fasting), na hakikisha unakunywa maji ya kutosha. Kumbuka unaweza kufanya mazoezi lakini ukaambulia patupu kama hautabadili utaratibu wako wa kula na kunywa.