Dermoviva ni kali sana ila inasaidiaHabari wanajamvi hususani kona hii ya urembo, mitindo na utanashati.
Msaada,..uso wangu unajaa sana mafuta. Mfano naeza nisipake chochote kile,..ila dk 2 tu tena kama jua likiniangaza kidogo tu...!! Utafikiri nimejipaka kopo zima la babycare.
Naomba ushauri nitumie nini ili kupunguza hii hali.
Asanteni...!!!
Pesa ngapi hiyoDermoviva ni kali sana ila inasaidia
Haifiki TShs 10,000 at eachPesa ngapi hiyo
SanteHaifiki TShs 10,000 at each
Scrub ni kama kawaida upaka baada ya dakika kama tano unasugua taratibu kutoa then unanawa na maji ya vuguvugu zoezi ni la kila wiki mpk utakaporidhika na matokeo.Unapakaje maana ata mm nina mafuta