Siri Sirini
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 547
- 199
kwa operation swala la mazoezi ni ngumu na diet kwa mtu anayenyonyesha ni vigumu pia ngoja tusibiri wataalamu.lakini swala la operation kama doctor hajakuassign kuwa operated ni bora kujifungua kwa njia ya kawaida maana unaweza ku control tumbo kwa urahisi kwa kweli mi binafsi nina mtoto lakini hukiambiwa nimeshazaa huwezi amini nimeweza ku control tumbo na mwili kama zamani lakini inawezekana njia za uzazi wa mpango ndo zinachangia kunenepa kwako
usile sana,simple!,hamna cha operation wala kufunga tumbo...usitafute sababu ukajiachia na mavyakula,kula balanced diet ila small proportion...
We usikute ni wale wanaoshindiliaga mtori, uji wa ulezi na supu zilizojazwa blueband maana kwa style hiyo lazima unenepeane bila break.
Jitahidi kula vyakula visivyojazwa mafuta mengi (kula matunda na mboga mboga nyingi huku ukipima vyakula vingine ulavyo) na kama kidonda kilishapona anza mazoezi madogo madogo huku ukiongeza. Kama bado kua atleast unatembea kila siku mara moja au mbili kwa mida wa dakika 45-60 kila mara.
Hongera na kila la kheri mwaya.