Kupunguza mwili na tumbo

Wanajukwaa habari za m

Naomba msaada wenu nawezaje kupunguza mwili na tumbo, ukizingatia nakuwa bize sana kweny kazi. Nakuwa na muda mchache sana nakuwa free.
Msaada wenu wa mawazo unahitajika

Asanteni
Angalau kwa siku uwe unakimbia kidog na kufanya mazoezi ya viungo.

Pili,punguza kula vyakula vya mafuta hasa chips na nyama! Hata kiasi cha chakula pia ule kidogo tu. Kuka mbogamboga na matunda.

Tatu,siku hizi kuna mikanda maalum wanavaa wanawake ili kuounguza tumbo. Bei zinatofautiana kutokana na ubora wa mikanda yenyewe. Tafuta zitakusaidia kupunguza tumbo!
 
kula msosi wa nguvu asubuhi,mchana robo tatu ya wa asubuh,jioni kidogo,jion usilezaid ya saa moja,au moja na nusu,piga maji mengi pia,ila ukiweza kila asubuh ukaa unakunywa maji ya moto,itakua bora zaid
 
Wanajukwaa habari za muda,

Naomba msaada wenu nawezaje kupunguza mwili na tumbo, ukizingatia nakuwa bize sana kweny kazi. Nakuwa na muda mchache sana nakuwa free.
Msaada wenu wa mawazo unahitajika

Asanteni
Dawa ya kupunguza unene, kilo, tumbo, uzito na mafuta ninayo inaitwa kwa jina jili Natural FitoForm +Plus ukihitaji nitafute nipate kukupatia Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

Kunywa maji ya moto yenye limao asbh ukiamka kabla hujagusa kitu
Punguza kula vyakula vya wanga alafu jion kula matunda tu
Huo mda kidogo unaopata fanya mazoezi ata kidogo, mwisho kabisa kajiunge na magroup ya kataa unene yapo mengi yatakutia hamasa
Haya magroup ni yapi nijiunge
 
kula msosi wa nguvu asubuhi,mchana robo tatu ya wa asubuh,jioni kidogo,jion usilezaid ya saa moja,au moja na nusu,piga maji mengi pia,ila ukiweza kila asubuh ukaa unakunywa maji ya moto,itakua bora zaid
Asante mkuu
 
Hiyo mikanda haina madhara
 
Tumia pumbu sita za kitunguu saumu,menya,acha dakika kuni kisha kata vipande vidigo na kusu kisha meza na maji nusu lita kanla hujala chicchote asubuhi.Kisha kula baada ya nusu saa.Fanya zoezi hili wiki tatu utaona mabadiliko.Nb usisahau mazoezi
 
mkuu asante ntafanyia kazi
 
Tumia pumbu sita za kitunguu saumu,menya,acha dakika kuni kisha kata vipande vidigo na kusu kisha meza na maji nusu lita kanla hujala chicchote asubuhi.Kisha kula baada ya nusu saa.Fanya zoezi hili wiki tatu utaona mabadiliko.Nb usisahau mazoezi
 
Wanajukwaa habari za muda,

Naomba msaada wenu nawezaje kupunguza mwili na tumbo, ukizingatia nakuwa bize sana kweny kazi. Nakuwa na muda mchache sana nakuwa free.
Msaada wenu wa mawazo unahitajika

Asanteni
Mkuu mimi pia nilikuwa na kitambi na minyama uzembe nilikuwa ata nikifunga kiatu ninahema kizembe. Kuna kipindi nilianza mazoezi lakini tatizo nilikuwa ninakula sana baada ya mazoezi pia niko busy sana na kazi. Siku moja nikapitia threads nyingi JF ili nipate mawazo na sio kunywa haya madaya ya kupunguza unene nilikuwa ninatafuta chakula dawa cha kunisaidia kuondoa kitambi na kupunguza uzito, ndio nikakutana na issue ya juice ya ukwaju tena ukizingatia mimi ninaipenda juice ya ukwaju. Kiongozi nimetumia juice ya ukwaju karibu kila siku yaani huwezi amini nilitamani nimzawadia mtoa mada ninadhani alikuwa Mzizi. Kiufupi si hemi hemi hovyo, kitambi kimeisha kabisa na uzito na unene umepungua na nipo fiti sasa kila idara kwani nilichukia hali niliyokuwa nayo ambayo si nzuri kiafya.
 
Unaitumiaje hiyo juice
 
Wanajukwaa habari za muda,

Naomba msaada wenu nawezaje kupunguza mwili na tumbo, ukizingatia nakuwa bize sana kweny kazi. Nakuwa na muda mchache sana nakuwa free.
Msaada wenu wa mawazo unahitajika

Asanteni
Pqki gari acha kupanda mabus tembea kwa miguu kwenda na kurudi kazini hata kama unatoka charambe kwenda goba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…