naomba mnisaidie kuna dawa nimeiona inatagazwa kwenye blog ikisema inapunguza unene kwa siku 14 na dawa ni asili haina madhara wanavyodai. Wasiwasi nisije kufa maan kufunguza mwaili wiki 2 sio mchezo naomba ushauri niitumie hiyo dawa au la.

Totoz pole sana..for a healthy way jinsi ya kupunguza uzito tembelea sisinamaisha.blogspot.com
dawa inaitwa KITAMBI SASA BASI inapatikana NEEMA HERBAR AND CLINIC na ipo CHANGANYIKENI.
Mie nilishawahi kumnunulia mtu hiyo dawa kwa ukweli haijasaidia lolote,
biashara juu ya biashara!
nitafanya hivyo
nitafanya hivyo[/QUO
mimi ni mtaalamu wa lishe..tembelea blog yangu upate ratiba ya mlo ukiufuata utafurahia matokeo yake..