Kupunguza uzito kwa massage

Kupunguza uzito kwa massage

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Hii njia ya kufanyiwa massage sehemu zenye mafuta, nilioona nchi fulani nikiwa safarini, gharama yake ni kuanzia $200 kwa session moja na session inachukua li saa. Ukiingia unapewa pichu disposable unavaa na unafunikiwa shuka.

Mtaalamu anachanganya mafuta yake na kuanza kumassage mwili mzima na anamalizia sehemu za tumbo, tumbo linafanyikwa massage mpaka unahisi ngozi inakuwa yamoto, wakati huo utahisi kwenda chooni, mara nyingi huwa hufiki chooni mambo yanakuwa yameanza kuharibika ndiyo maana wanakupa pichu disposable.

Ukifika chooni unaharisha sana, na hii ni kwakuwa mafuta yaliyozidi mwilini yameyeyushwa na massage, njia hii wanaotumia wengi ni celebrities kwa wale wasiopenda hard work za gym na kufanya diet.
 
Sky Eclat njoo nyumbani kwangu mimi nitakufanyia hiyo massage kwa bure kabisaaa!
 
Back
Top Bottom