Kupunguza uzito

Kupunguza uzito

newoverhere

Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
23
Reaction score
9
Habari za asubuhi wapendwa, nilikuwa mnene japo siyo sana nikagundua kuwa uzito wangu hauendani na utefu wangu ndipo nikaanza kujipunguza na sasa uzito wangu ni wa kawaida ila cha kushangaza mikono haijapungua hata kidogo.

Naomba msaada wenu kama kuna ninachoweza kufanya ili unene wa mikono uendane na wa mwili. Asanteni
 
mkuu ulitumia njia gani kujipunguza uzito?
 
Huwa naruka kamba mara 200-300 asubuhi na jioni halafu jioni nakula matunda tu. Kama na wewe una uzito mkubwa hii ni njia nzuri sana kupunguza uzito@majigo
 
lile zoez la kuruka kamba ndo linafanya ujazie mikono,so tafuta njia nyingine ambayo haita ipa mikono zoezi
 
Kutokula jioni kunapunguza tumbo sana, hata mimi nilikuwa na tumbo kubwa ila limepungua@majigo
 
Piga gym mazoezi ya misuli mwili mzima utapata balance
 
Habari za asubuhi wapendwa, nilikuwa mnene japo siyo sana nikagundua kuwa uzito wangu hauendani na utefu wangu ndipo nikaanza kujipunguza na sasa uzito wangu ni wa kawaida ila cha kushangaza mikono haijapungua hata kidogo.

Naomba msaada wenu kama kuna ninachoweza kufanya ili unene wa mikono uendane na wa mwili. Asanteni

Tumia aloe body toning kit ni PM ukihitaji ImageUploadedByJamiiForums1426698368.561134.jpg
 
Ungekuwa msichana ningekuambia uwe demu wangu ningekupa stress ungekonda kama mgonjwa wa kwashakoo sifai mie
 
Habari za asubuhi wapendwa, nilikuwa mnene japo siyo sana nikagundua kuwa uzito wangu hauendani na utefu wangu ndipo nikaanza kujipunguza na sasa uzito wangu ni wa kawaida ila cha kushangaza mikono haijapungua hata kidogo.

Naomba msaada wenu kama kuna ninachoweza kufanya ili unene wa mikono uendane na wa mwili. Asanteni

Use Aloe Vera products from forever living for sure.
For more details check me on:
Email: shelbytheseeker@outlook.com
Phone: +255657830098
 
Back
Top Bottom