newoverhere
Member
- Mar 4, 2014
- 23
- 9
Habari za asubuhi wapendwa, nilikuwa mnene japo siyo sana nikagundua kuwa uzito wangu hauendani na utefu wangu ndipo nikaanza kujipunguza na sasa uzito wangu ni wa kawaida ila cha kushangaza mikono haijapungua hata kidogo.
Naomba msaada wenu kama kuna ninachoweza kufanya ili unene wa mikono uendane na wa mwili. Asanteni
Tumia aloe body toning kit ni PM ukihitaji View attachment 235741