D doricas Member Joined Apr 16, 2012 Posts 28 Reaction score 5 Dec 13, 2015 #1 Hello members. Ninatoa ushauri kuhusu kupunguza uzito wa mwili na mimi mwenyewe nikiwa mfano kwa jinsi nilivyoweza kupunguza kilo 45 ndani ya mwaka mmoja kwa kufanya mazoezi na kula mlo sahihi. Mwenye uhitaji just send private message. Thanks.
Hello members. Ninatoa ushauri kuhusu kupunguza uzito wa mwili na mimi mwenyewe nikiwa mfano kwa jinsi nilivyoweza kupunguza kilo 45 ndani ya mwaka mmoja kwa kufanya mazoezi na kula mlo sahihi. Mwenye uhitaji just send private message. Thanks.