occipito-frontalis Senior Member Joined May 28, 2017 Posts 133 Reaction score 70 May 13, 2019 #1 Naomba kujua hii taarifa ya kupunguza sifa za kudahili wanafunzi watakaopenda kusomea uuguzi na ukunga hii imekaaje? Sidhani kama shida ni vigezo kutokwenda kusoma hiyo fan, japo inawezekana.
Naomba kujua hii taarifa ya kupunguza sifa za kudahili wanafunzi watakaopenda kusomea uuguzi na ukunga hii imekaaje? Sidhani kama shida ni vigezo kutokwenda kusoma hiyo fan, japo inawezekana.