Kupunguza wafanyakazi

Salih

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
642
Reaction score
420
Wakuu naomba kujuzwa Sheria inasemaje kuhusu kampuni au Taasisi kupunguza Wafanyakazi...nini stahiki ya Mfanyakazi anaepunguzwa? Natanguliza Shukrani
 
Utalipwa mshahara wako wa mwisho, nauli ya ulipotokea kama uliajiriwa toka sehemu ingine, severance allowance kama umeshawahi fanya kazi zaidi ya mwaka mmoja,utasafirishiwa mizigo yako na pia utapewa form za mfuko wa jamii...
 
Nashukuru Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…