Kupunguza Woga/Fear ya Kushindwa katika kuanzisha Biashara

Good staffs. Soma kitabu kinaitwa Rich Dad Poor Dad by Robert Kiyosaki.
 
Mkuu Komandoo... Umetoa mawazo mazuri sana kuhusu ujasiliamali. Nakubaliana nawe 100 percent. Tatizo la uthubutu kwenye ujasiriamali kwa watz lipo kwenye AKILI zetu. Trust me. TUNAMATATIZO YA AKILI....
 
Mimi nashukuru kwa kunipa mwangaza, (hasa hiyo ya Wagiriki ya kuchoma moto meli) kwakweli nimejifunza mengi kwa haya machache ikizingatiwa si mimi tu ila watu wengi tuna jinamizi hili la woga wa kuacha kuajiriwa na kujiajiri wenyewe na kuanza kula matunda ya jasho letu wenyewe.

AHSANTE MKUU NA UBARIKIWE SANA.
 
Asante sana! Hii imenitia nguvu zaidi maana niko kwenye mchakato wa kuacha kuajiriwa na kufanya shughuli zangu binafsi.
 
Mimi pia ni mjasiriamali, nimeanzisha kampuni ya building service (electrical & mechanical), kinachonisumbua ni gharama za uendeshaji kabla miradi haijachanganya, je nitawezaje kupata mkopo wa masharti nafuu, napata shida mpaka natamani kurudi kwa muajiri, ila siwezi kufanya hivyo ninakomaa mpaka kieleweke. wasiliana nami kwa email gearedconsult@gmail.com.
 
Woga ni ugonjwa unaotafuna sehemu ya ubongo (subconscious mind), ambamo uthubutu ndimo ulimohifadhiwa?
Je tunawezaje kupona na hili janga mkuu KOMANDOO?
 
Woga ni ugonjwa unaotafuna sehemu ya ubongo (subconscious mind), ambamo uthubutu ndimo ulimohifadhiwa?
Je tunawezaje kupona na hili janga mkuu KOMANDOO?

Mkuu kwa kifupi ni Kwamba hapa ndo sehemu panapo hitaji Uwezo wa Mtu binafisi, na hata ndo moja ya skills ambazo huwezi kuzipata sehemu yoyote ile iwe chuoni, so mkuu ni Kuchoma meli moto pekee ndo kunaweza kukusaidia,

Mara nyingi wapo ambao huzaliwa na sprit ya kuto kuwa na uoga na wapo ambao uoga huondoka kutokana na matatizo so unaweza kuta sasa hivi mtu anaogopa sana kitu biashara na hii inachangiwa na kuwa na kazi ila the time hio kazi ikiisha huu uoga unaweza ondoka weyewe

 
Huo mfano wa kuchoma meli moto naufananisha na wale vijana wanaoharibu kwao halafu wanazamia sauzi ili kutafuta maisha, wanakwambia ni bora apigane kwanamna yoyote lakini sio kurudi bongo. Japo sio mfano mzuri
 
Ahsante.....mada nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…