kupuuzwa kwa elimu ndio chanzo cha matatizo ya taifa hili

kupuuzwa kwa elimu ndio chanzo cha matatizo ya taifa hili

Joined
Dec 6, 2012
Posts
7
Reaction score
0
wakati nchi nyingine zinawekeza kwenye elimu nchi hii inawekeza kwenye ufisadi na siasa chafu, tusubiri anguko kubwa kama si kufutika kwa tifa hili katika ramani ya dunia,
elimu nndio mstakabali wa taifa lolote ulimwenguni, angalia miaka 51 ya uhuru bado kuna mwalimu anaidai serikali mishahara na hajalipwa na hakuna dalili zaidi ya kupgwa bra bra tu, unategemea mwalimu huyo atafundidha kwa moyo?
ndo maana wanafunzi wanamaliza darasa la saba hawajui kusoma, nasema na bado tutaona vituko zaidi hadi pale serikali itakapo watambua walimu,
mwlimu atalazimishwa kuingia darasani lakini huwezi kumwamuru mwalimu afundishe, kwa kuwa kazi hii ni nyeti sana na inahusiana na psychological matters.
Nasema hivgi tuiweke madakani selikali itakayo jali sector ya elimu kwa nchi hii.
CHUKUA HATUA
 
Back
Top Bottom