N Nikupateje JF-Expert Member Joined Dec 22, 2009 Posts 1,334 Reaction score 989 Oct 31, 2010 #1 Jamani, Tuliambiana humu JF kwamba document ya kujumlisha kura zote jimboni automatically imeshatengenezwa. Hivyo hakuna ujanja wa kupindisha mahesabu. Tulikubaliana tuwasambazie wote watakajumlisha lakini inaelekea kuwa kuna baadhi waliisifia lakini kuna baadhi hawajui kama ipo. Hebu tuipitie tena kwenye thread hii hapa chini: https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/81684-matokeo-ya-uchaguzi-yawekwe-hapa.html
Jamani, Tuliambiana humu JF kwamba document ya kujumlisha kura zote jimboni automatically imeshatengenezwa. Hivyo hakuna ujanja wa kupindisha mahesabu. Tulikubaliana tuwasambazie wote watakajumlisha lakini inaelekea kuwa kuna baadhi waliisifia lakini kuna baadhi hawajui kama ipo. Hebu tuipitie tena kwenye thread hii hapa chini: https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/81684-matokeo-ya-uchaguzi-yawekwe-hapa.html