Kura NDIO au HAPANA kwa katiba pendekezwa.

Kura NDIO au HAPANA kwa katiba pendekezwa.

msambaru

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
245
Reaction score
109
Salam wana jukwaa,
Ni katika tafakari yangu binafsi, nini mantiki ya kupga kura kwa katiba pendekezwa? mtazamo wangu ni kwamba nikipiga kura ya NDIO nimekubali kuishi kwnye msitu mpya na nyani walewale, nikipga kura ya HAPANA nimekubali kuishi kwnye msitu wa zaman na nyan wake, nisipopga kura nakua nmempga teke chura kwenda kwenye maji ya maescrow yatatangaza waliosema ndio wameshnda as per bi mkora mjengon, tufanyeje kufikia TZ na katiba tuitakayo ili walau tupunguze jeuri ya watawala wetu?
 
Back
Top Bottom