Uchaguzi 2020 Kura ni Mali yangu

Uchaguzi 2020 Kura ni Mali yangu

AKASINOZO

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
1,367
Reaction score
2,219
Kura yangu inakupa hakikisho la kula miaka 5 bila bugudha yoyote ni contract yangu na wewe kiongozi hivyo thamani yake ni kubwa kuliko dhahabu na almasi.

Nitapiga kura yangu, nitailinda kura yangu

Twende sawa 28 Oktoba
 
Back
Top Bottom