AKASINOZO JF-Expert Member Joined Aug 22, 2016 Posts 1,367 Reaction score 2,219 Oct 24, 2020 #1 Kura yangu inakupa hakikisho la kula miaka 5 bila bugudha yoyote ni contract yangu na wewe kiongozi hivyo thamani yake ni kubwa kuliko dhahabu na almasi. Nitapiga kura yangu, nitailinda kura yangu Twende sawa 28 Oktoba
Kura yangu inakupa hakikisho la kula miaka 5 bila bugudha yoyote ni contract yangu na wewe kiongozi hivyo thamani yake ni kubwa kuliko dhahabu na almasi. Nitapiga kura yangu, nitailinda kura yangu Twende sawa 28 Oktoba
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 Oct 24, 2020 #2 Kura ni halali yako ila za thamani zipo Ccm