Kocho
Senior Member
- Jun 5, 2013
- 120
- 21
wana jf katika jambo ambalo linanitatiza katika kichwa changu ni kura ya maoni katika huu muungano tata kwenye katiba mpya hivi ikitokea watanganyika wakapiga kura ya ndio na upande mwengine wa Zanzibar wakasema hapana hivi kuna kifungu chochote cha sharia kuhusu hili fumbo coz mmi niseme cjafahamu naomba mwenye jibu aniweke sawa, kuuliza ni njia moja ya kusoma nawakilisha.