Hii kura ya kuwatambua wauaji hadi sasa sijaielewa ,labda wapenzi na wafuasi wa Sultani CCM mtuchambulie hii sera mpya iliyozuka ,vipi itaweza kumkamata muuaji ingawa naweza kuwapa sapoti ikiwa tu mafanikio yataonekana ,yawe ya uhakika .pengine mliona watu hawawezi kupeleka habari kwenye vyombo vya usalama kwa kuwa watu wa usalama ni wahusika ,kwa mfano huo wananchi hawana imani na vyombo vya usalama.
Haya wafuasi wa Sultani CCM truechambulieni haka kaufisadi kingine ambako tayari kimeshasema kitatumia mamilioni ili kukamilika. Kama mambo yakiwa mazuri fedha si kitu lakini kama hakuna natija yeyote basi utakuwa wizi mwengine. Leteni ufafanuzi wa sera hii ya upigaji kura !!!