Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,947
- 7,939
Hapo kabla ya wana wa UKAWA kutangaza kujitoa kura ya maoni ya katiba CCM ilionekana kuhaha kuipigia kampeni katiba mpya . Sasa hivi naona kimyaa kikuu na hakuna anayeshadadia habari ya katiba kama mwanzo. Hii maana yake ni nini? Najaribu kuproject siku ya huo uchaguzi huku mitaani na vitongojini.Huenda gharama itakayotumika ikawa ndogo sana kuliko gharama halisi maana wananchi watakuwa wachache yaani hata wanachama wa CCM hawana hamu nayo baada ya UKAWA kujitoa. Sas watu watapiga hayo mabilioni ya uchaguzi pasipo uchaguzi