Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Wakuu habari ya leo, kwa tunaofatilia siasa za Kenya kuelekea Uchaguzi mkuu, kama ungepata nafasi ya kupiga kura, ungempigia mgombea yupi kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Mgombea Mkuu wa Upinzani bwana Raila Odinga?
Twende sasa, dondosha kura yako hapa.
Twende sasa, dondosha kura yako hapa.