Kura ya maoni, Ukawa wavutana Dar

Wewe Jibwa muone mmeo huyo chini hapo
View attachment 253609

Mmezoea kutukana na hiyo ndiyo kanuni number moja ya MACCM chini ya kipengere TETEA MAFISADI...............Sina sababu ya kutafuta mume wa mtu.Na ninaona kama vile umemkosa sasa ukimuona hivi ROHO kwatu...eh.........Unasingizia kupost humu kumbe lengo lako japo kumuona tu hata kwa sekunde ..............Pole sana mume wa mtu huyo mwenzio kesha wahi................

Na kama wewe ni mwanume unamfuatafuata mwanaume mwenzako basi tunamashaka Kama:

1.Marinda ya suruali yako bado yapo

2.Urijari wako

:confused2:
 

Tetty, Ukawa wamekula ya mbuzi sasa wameanza kuota mapembe. Bado mapema hivi kikundi cha mkusanyiko kimeanza kusambaratika? Ama kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni.
 
Mpuuzi wewe umepungukiwa na akili ndo maana hao mabwana zako wa Ukawa wanakutumia kama ndoo ya chooni!

Ok!!!!!!!!!!Nitakujibu hivi,kwa sababu umeshazoea kutumiwa kama ndoo ya chooni basi unadhani watu wote wanatumiwa kama wewe.............

Naona nimepiga penyewe ukiona watu wanatoka na :A S-rap: ya matusi basi ujue........dawa imeingia vyema na mgonjwa anarespond vizuri.....wewe :cheer2::cheer2::cheer2::whoo::whoo::whoo::whoo:
 
Mchumia tumbo wewe huna jipya humu ndani, unapoteza muda wa bure, kisa umelipwa jero jerokuteteta wajinga hao wa Ukawa

Na safari hii yule mgombea wenu hatoki,hivyo sahau kabisa kama ATM itakuwepo...........:hatari::hatari:
 
Tetty, Ukawa wamekula ya mbuzi sasa wameanza kuota mapembe. Bado mapema hivi kikundi cha mkusanyiko kimeanza kusambaratika? Ama kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni.

Samani pilipili umewekewa kwenye chakula au ipo shambani?Na kwa kukusaidia tu ili usipoteze muda wako ni kuwa Ndugu wakigombana.............Wakipatana..............Sasa wewe ukijidai kuingilia halafu wakaja patana haujalima sijui utavuna nini.......

Tulieni tu kama mnanyolewa nywele.........Na hebu kimbilia Dodoma nasikia Mgombea wako kalazwa Dodoma Hospital pale fanya haraka...............
 
Na safari hii yule mgombea wenu hatoki,hivyo sahau kabisa kama ATM itakuwepo...........:hatari::hatari:

Mbona una weweseka wewe? unasumbuliwa na nini? Uwe muwazi maana unasemasema maneno mengi mengi yasiyo na msingi wowote. Acha hizo
 

NDOA ya ukawa aloiunganisha ni Lema!!
 
Mbona una weweseka wewe? unasumbuliwa na nini? Uwe muwazi maana unasemasema maneno mengi mengi yasiyo na msingi wowote. Acha hizo

Anayesema maneno ya kuweweseka ni nani?Unajua unapojibu quote ya mtu hakikisha umemuelewa.Nimeona mmekuja kama siafu waliokuta ganda la muwa.

Jiulize kinachowasumbua nyie CCM ni nini?Mambo ya ukawa waachie ukawa.Why worry about something which does not concern you?

Kama unaona UKAWA unakufa well and good uache UFE ni furaha kwenu au...........

Wenzako unaokuja nao wamekuja na matusi mengi wakifikiria nitawatukana nipate BAN ,haitakaa itokee........So mawili nenda shamba kalime tuachie ndugu tutatue matatizo yetu.............Vinginevyo tutakapopatana hutokaa uvune kamwe............Pole sana ila ACHA hizi :bange: Sababu siyo hii:tea:
 
Hao wawili wa mgongoni na yule anayefuatia, wanadhitije? Mbona kama wanamfanyia kitu cha kumsababishia maumivu makali sana? Wanamfanyaje?

Njia sahihi ilikuwa ni kumtoa nje ya kikao badala ya kumjeruhi kisirisiri. Kutofautiana siyo kugombana.

Yeye atake Kupigana hadharani atolewe kisirisiri uliona wapi this year UKAWA WATAUANA TU.
 
Na wewe ya kwako na mgombea wako ameiunganisha nani?Nyie ndiyo wale mnaotakiwa kutafutiwa consultant ili mpimwe uwezo wenu wakufikiri.

NDOA YA WACHUMIATUMBO LIYEWAUNGSHA LEMA,Featuring SUGU UNATEGEMEA NINI HATA KWA MSAJILI HAIPO TEH TEH TEH KWISHAAA,
 

Tatizo lako wewe inafikiria yasiyo kusaidia katika yale unayoyasema.Kua wewe! Na sina nia ya kukutaka utukane. Aka! Hulka ya matusi kwanza mimi siipendi maana tunadhalilishana, hapa tunatakiwa kujengana na kueleweshana panapobidi. N kwenye hoja, usitarajie kila mtu atakubaliana na hoja yako. Wapo watakaokuunga mkono na wapo watakao hitilafiana na wewe. Hivyo busara daima ndiyo fimbo njema ya mazungumzo ya humu ndani.
 



ACHA KUKIMBIZA KIVULI CHAKO BABU KASTAAFU TUTAFUTIE MGOMBEA WA TEAM BUGURUNI HAPA CHINI


1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei
1988-2003. M/kiti Bob Makani
2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe
2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe
2014-2019. M/ kiti Freeman Mbowe

CUF (Civic United Front).

1995-2000. Mkiti Ibrahim Lipumba.
2000-2005. mkiti Ibrahimu Lipumba.
2005 -2011. mkiti Ibrahim Lipumba.
2011-2017 . mkiti Ibrahim Lipumba.

NCCR MAGEUZI.

1992-1995. Mkiti Mabere Marando.
1995-1999. Mkiti Augustin Mrema.
2000-2010. Mkiti James Mbatia.
2005-2010. Mkiti James Mbatia.
2010-2014. Mkiti James Mbatia.
2015-2020. Mkiti James Mbatia.

 

Umeshaona kwamba kuna haki ya kutofautiana sawa na hakuna mtu anayetakiwa kumdhalilisha mwenzake sawa?basi hebu rudi nyuma uone hao wenzako wa CCM walinijibu nini?Na mwisho utajua kwanini nimejibu nilivyomjibu.

Ni kweli kabisa kama tusivyoingilia mambo yenu huko CCM basi hata UKAWA mnatakiwa msikuingilia ili tu tuapate kugombana na kuvunja uhusiano mzuri tulijiwekea.

Ni wakati wa kupata na kutafuta viongozi waliobora na si bora viongozi.Hatuhitaji CCM kushinda tena siyo kwenye UBUNGE wala URAISI,tupo kitaifa zaidi.........Tunahitaji kuisadia TAIFA kutoka kwa MAJANGILI walio ndani ya CCM wanaoiba kila kukicha na hawafanywi kitu........

Hebu ona ni muda mfupi toka ESCROW iibuliwe ,leo Mussa Assad kaleta nini BUNGENI?Uchafu ule ule uliofanywa na wtau wale wale na wakishabikia wakifurahia wizi leo kwanini nisikuweke mahali pako wakati wenzako tunatafuta njia ya kutokea wewe unaifunga...

Please acheni,tunahitaji Tanzania bila rushwa na ufisadi,mwisho if you wont mind please read my signature then tafakari uchukue hatua......
 

Wewe huna tofauti na mtu aliyevuliwa MARINDA sehemu zote za mwili mpaka UBONGO wako...........

Haya tuambie huyo mkullu wako ametuletea nini zaidi ya chuki na visasi?

Sina muda wa kulumbana na mtu ambaye hana MARINDA ya kwenye suruali wala kwenye ubongo....Kufuatilia tu wanaume wenzako,lazima tujiulize hivi wewe ni rijali kweli?Au wanaokupa pesa washafumua MARINDA huko?
 
NDOA YA WACHUMIATUMBO LIYEWAUNGSHA LEMA,Featuring SUGU UNATEGEMEA NINI HATA KWA MSAJILI HAIPO TEH TEH TEH KWISHAAA,

Nyie ndiyo wale wakati NDOA yao nyumbani ikiota mbawa wako busy na ndoa ya jirani.Any way kamuulize Prof Maji Marefu kama ameshawatengenezea dawa msije mkawamaliza Albino zaidi.:shetani::shetani: WAKUBWA NYIE
 
Hayo mashairi yako mpelekee babu yako au huyuView attachment 253630
 
Nyie ndiyo wale wakati NDOA yao nyumbani ikiota mbawa wako busy na ndoa ya jirani.Any way kamuulize Prof Maji Marefu kama ameshawatengenezea dawa msije mkawamaliza Albino zaidi.:shetani::shetani: WAKUBWA NYIE


Wewe ni agent umebaki unaokoteza maneno tulia Buguruni team wakununulie mapassion!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…