Centrehalf
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 509
- 145
Salaam wana jamvi,
Kumekuwa na tetesi kuwa waziri wa Afrika Mashariki na spika wa zamani wa bunge la katiba mh. Samwel Sitta ni miongoni mwa wanaotaka kugombea uwenyekiti wa kudumu pamoja na mh. Andrew Chenge mwenyekiti wa kamati uchumi na mwanasheria mkuu wa zamani katika serikali ya awamu ya tatu nae ametajwa kuutaka uwenyekiti wa bunge la katiba.
Je wewe ungependa nani awe mwenyekiti wa bunge la katiba?
Nawasilisha.
Acha kutoa povu basi kwani umeshikwa pabaya? Inaonekana umelelewa kwa gharama za buku 7 kutoka Lumumba ndio maana unatoa povu kupita kiasi.Tuletee anayetoka chama cha mpira basi make unataka kujenga hoja ambayo haina mashiko kabisa kwa bunge hili.
Ninamaanisha MigiroHalafu Migiri kadri siku zinvyosogea anajipambanua zaidi kuvinjari na kuwa kambi za mafisadi sijui ni kwa nini?, yeye hajioni lakini umma unamuona hiovyo, ni mara nyiongi anakuwa katika kundi lenye maslahi ya kifisadi badala ya upande mwingine. Kama ni njaa hana kihivyo, kama ni tamaa ya madsaraka ameshakamata ya kimataifa , hivi motive yake ni nini hasa?