A Akili Kichwani JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,508 Reaction score 220 Jul 26, 2010 #1 kwa tathmini nyepesi ya yanayojiri kichwani mwa mh. augustine mrema ambaye ni mwenyekiti wa TLP, mnadhani ya urais wa JMT atampigia nani mwaka huu, JK (CCM), DR slaa (CHADEMA) au mutamwega mugahywa (TLP)?
kwa tathmini nyepesi ya yanayojiri kichwani mwa mh. augustine mrema ambaye ni mwenyekiti wa TLP, mnadhani ya urais wa JMT atampigia nani mwaka huu, JK (CCM), DR slaa (CHADEMA) au mutamwega mugahywa (TLP)?
J Jasusi JF-Expert Member Joined May 5, 2006 Posts 11,559 Reaction score 5,472 Jul 26, 2010 #2 Akili mu Kichwa, Kwa jinsi alivyokuwa anamfagilia mgombea wa CCM kura ya Mrema tayari inajulikana itakwenda kwa nani.
Akili mu Kichwa, Kwa jinsi alivyokuwa anamfagilia mgombea wa CCM kura ya Mrema tayari inajulikana itakwenda kwa nani.
minda JF-Expert Member Joined Oct 2, 2009 Posts 1,068 Reaction score 67 Jul 27, 2010 #3 jibu analo mrema mwenyewe
SILENT WHISPER JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 2,209 Reaction score 822 Jul 27, 2010 #4 kwa jinsi anavyojikomba kwa kiwete lazima atampigia kiwete bin vasco dagama ......! rais anaeua uchumi wa nji hii..!
kwa jinsi anavyojikomba kwa kiwete lazima atampigia kiwete bin vasco dagama ......! rais anaeua uchumi wa nji hii..!
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,298 Jul 27, 2010 #5 na wale waliowahi kumpigia mrema wa nafasi ya uraisi kura zao zitakwenda wapi?