Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 989
Kuna watu wanadhani ndani ya CCM hakuna watu mioyo yao ilishawahi kuonyesha kwa vitendo damu ya utanganyika na wala hawajaukana hadharani.
Hata sasa hivi wakifungua mioyo yao ili wajitaje utashangaa kusikia watu ambao huwezi kuamini licha ya msimamo wa chama hicho.
Hebu katika thread hii tushirikiane kutengeneza list ya waumini ambao kwa namna moja waliwahi kuonyesha kivitendo mapenzi na serikali tatu ikiwemo ya Tanganyika.
Mimi naanza kuorodhesha kwa kusema kwamba Bunge lote lililopitisha KWA KAULI MOJA BILA KUPINGWA azimio la kuleta Serikali ya Tanganyika.
Nikisema Kwa kauli moja maana yake wwote Bungeni mle waliokuwa Serikalini na wabunge.
Tuanze:
01: Samweli Sitta-----(THEN: Waziri wa Katiba na Sheria)--(NOW: Waziri wa Afrika Mashaariki-CCM).
02: Benjamin Mkapa-----(THEN: Waziri wa Sayansi na Elimu ya Juu)--(NOW: Rais Mstaafu-CCM).
03: Anne Makinda-----(THEN: Waziri wa Jinsia na watoto)--(NOW: Spika, Bunge la Muungano-CCM).
04: Pius Msekwa-----(THEN: mjumbe ktk Tume ya Nyalali aliyependekeza Tanganyika)--(NOW: Spika Mstaafu-CCM).
05: Augustine Mrema-----(THEN: Naibu Waziri Mkuu)--(NOW: Mbunge-Vunjo (TLP).
06: Fredrick Sumaye-----(THEN: Waziri-Kilimo)--(NOW: Waziri Mkuu Mstaafu).
07: Edwrad Lowassa-----(THEN: Waziri, Ardhi)--(NOW: Waziri Mkuu aliyejiuzulu-CCM.
08: Joseph Warioba-----(THEN: Mbunge-Bunda)--(NOW: Mwenyekiti, Tume ya Katiba-CCM).
09: Jakaya Kikwete-----(THEN: Waziri wa Nishati na Madini)--(NOW: Rais Tanzania-CCM).
10: Yusuf Makamba-----(THEN: Mbunge+RC-Kigoma)--(NOW: Katibu Mkuu Mstaafu-CCM).
11: Philip Marmo-----(THEN: M/Kiti Kamati ya Bunge-Katiba)--(NOW: Nimesahau).
Hawa wote ile August 24, 1993, walikuwa Bungeni siku Bunge linapitisha hoja ya Serikali ili kuwe na Serikali ya Tanganyika ndani ya muungano.
Uamuzi wao kama Bunge wa kuleta Tanganyika ulizimwa na wenzao chamani walipopiga kura ya maoni ndni ya CCM. Hivyo, si kwamba walijiona hoja haifai wakaiondoa, bali tu walizidiwa kura nje ya Bunge na wanachama wenzao.
Watu kama Lukuvi na Ole Sendeka walikuwa bado UVCCM, inawezekana ndiyo wliongeza kura ndani ya CCM kuwaangusha wenzao wa Bungeni kuikata kwa kura Tanganyika.
Kuzidiwa huko kuliwafanya Serikali iondoe azimio lile Bungeni mwaka mmoja kamili uliofuata yaani August 24, 1994. Kwa hawa walioipitisha Tanganyika Bungeni, walikataliwa kuileta kwa kura, na si kwa moyo wao uliowafanya wasiipinge Bungeni unanimously.
Hivyo, haijulikani hawa na wengine wote wakipiga kura ya siri watu kama hawa watakumbuka moyo wa 1993 au vipi.
Sasa, kumekuwa na mchezo wa kumtaja huyu au kumtaja yule, sasa tuvunje mzizi wa fitina. Mimi nimepata majina hayo tu, wengine mnakumbuka zaidi.
Shusheni data wakuu.