Nellyonjolo1
Senior Member
- Dec 2, 2012
- 120
- 39
Habari zenu wadau.
Leo nina utimiza usemi kuwa kuuliza si ujinga. Nikiwa kama mtanzania nisiye na ufahamu wa kutosha ktk siasa yetu ya bongo ningependa kufafanuliwa mambo yafuatayo ambayo yanawachanganya wajumbe wetu kule bungeni na kupelekea hata wengine kulia
1. Nini tofauti kati ya kura hizi mbili?
2. Kuna madhara gani ktk kura ya siri/wazi?
3. Kuna faida gani ktk kura ya siri/wazi?
Najua kuna wadau humu mitandaoni hata mtaani wanashabikia tu lakini hawajui wanabishania nini..
Nawasilisha..