Nellyonjolo1
Senior Member
- Dec 2, 2012
- 120
- 39
Habari zenu wadau.
Leo nina utimiza usemi kuwa kuuliza si ujinga. Nikiwa kama mtanzania nisiye na ufahamu wa kutosha ktk siasa yetu ya bongo ningependa kufafanuliwa mambo yafuatayo ambayo yanawachanganya wajumbe wetu kule bungeni na kupelekea hata wengine kulia
1. Nini tofauti kati ya kura hizi mbili?
2. Kuna madhara gani ktk kura ya siri/wazi?
3. Kuna faida gani ktk kura ya siri/wazi?
Najua kuna wadau humu mitandaoni hata mtaani wanashabikia tu lakini hawajui wanabishania nini..
Nawasilisha..
Kura ya wazi ina lengo la kushurutisha kufanya maamuzi kinyume na msimamo wako. CCM imetumia njia hii kupitisha hata bajeti mbovu za serikali. Kura za siri ina lengo la kidemokrasia, mtu huwa huru kutoa maamuzi kwa kuzingatia msimamo wake. Hiki kinachoimbwa na ccm kwamba wametumwa wawawakilishe wanan hi ni uongo, kwanini wananchi wawatume wakati wameshiriki moja kwa moja kutengeneza rasimu. Mimi ni mwananchi wa jimbo la songea. Hakuna hata siku moja Nchimbi ameitisha mkutano jimbon kutaka kujua maoni yetu kuhusu k.m muundo wa serikali 1,3,2. Eti wananchi wametutuma...hatujawatuma kutengeneza katiba, bali kuilinda.