M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Oct 30, 2024 #1 Kuna siku wananchi wa Ukraine walipiga kura wakajikuta wameingia mkenge kwa kumchagua mtu ambaye amelitumbukiza Taifa kwenye maafa na majanga makubwa sana ya kivita! Sasa Rais mwenyewe anajuta na wananchi wenyewe wanajuta!!
Kuna siku wananchi wa Ukraine walipiga kura wakajikuta wameingia mkenge kwa kumchagua mtu ambaye amelitumbukiza Taifa kwenye maafa na majanga makubwa sana ya kivita! Sasa Rais mwenyewe anajuta na wananchi wenyewe wanajuta!!
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Oct 30, 2024 #2 Hahaha Bora vita kuliko MAJIZI kama CCM. Wanapigana wale wakaa bure who cares.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Oct 30, 2024 #3 Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi .
K kovai tamil taiga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 1,451 Reaction score 2,059 Oct 30, 2024 #4 Kura Zetu Zina Thamani Hilo ni Kweli,Lkn hao Wanaozitaka hizo kura Zetu Kila tukiwathaminisha ndo tunapokuja gundua hawana Thamani hiyo Kbs...!
Kura Zetu Zina Thamani Hilo ni Kweli,Lkn hao Wanaozitaka hizo kura Zetu Kila tukiwathaminisha ndo tunapokuja gundua hawana Thamani hiyo Kbs...!