Uchaguzi 2020 Kura yangu 2020

Tatizo mnasema mna moyo mkuu ila ni kwa vile mmejificha kwa id fake. Kama we ni mkweli basi sema we ni nani, uko wapi, na nia yako ni nini
 
Achana na maccm yamejaa ushirikina ndio maana nchi imewashinda
 
Tatizo mnasema mna moyo mkuu ila ni kwa vile mmejificha kwa id fake. Kama we ni mkweli basi sema we ni nani, uko wapi, na nia yako ni nini
Kwani hamjawekeza kwenye kubaini ID fake ili kuwashughulikie ili uchumi ukue
 
Tatizo mnasema mna moyo mkuu ila ni kwa vile mmejificha kwa id fake. Kama we ni mkweli basi sema we ni nani, uko wapi, na nia yako ni nini
Nia yangu NIMEKUELEZA usijitoe akili rudi soma maelezo yangu,Na mimi ni PHILIPO MICHAEL MILINGA.,,Nipo Mkoa wa Lindi (mtama kwa Nape Nnauye). Sema kingine UNATAKA nini?.
 
Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.

Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi...

Jr[emoji769]
 
Binafsi nitarudia kile nilichokifa 2015 tu, i said no toka kwenye kampeni za kupiga push_ ups, kupiga kura na mpaka kwenye kuvaa migwanda ya Jeshi!
 
Sijui mtu anayewaza kumpa mtu kama huyu kura atakuwa vipi. Ila kwa ufinyu wa akili za watu atapata kuna ndondocha nchi hii bwana.
 
Tupo pamoja ata mimi sijamuelewa miaka yote 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia takwimu za mwaka gani tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
To be exact, he is the worst to have ever walked this land. Any of the two finalist women in the Party Meeting to select candidate, would have been better by far. We will live to regret the blunder we made in 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…