Midazolam
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 807
- 1,340
Mwenye macho anatazama mwenyewe na mwenye akili anajua anachokifanya.
Nchi lazima iwe imara kwa katiba ,bila katiba nchi inakuwa dhaifu Sana
Ni ukweli nchi bado ni dhaifu na ndo maana mtu moja au kikundi cha watu fulani wanaweza kufanya chochote na hata hatua wasichukuliwe
Tazameni maneno ya ccm majukwaani inapeleka hii nchi wapi
Askari wa nchi hii imekuwa ya ccm na kuacha uweledi wake,na huku wamefumba macho na kusahau kabisa ni ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Usaliti ni mwingi sana hii ni hatari sana na adui anapoingia nchini ni uwazi kwamba tunaweza kuumizwa vibaya kutokana na usaliti ni mwingi sana,siri ya nchi hulindwa kwa katiba imara ya nchi
Kiongozi tunaemuona ni baba wa Tanzania nzima na kujisifu kuwa maendeleo hayana chama,huyo huyo anasema tusipochagua wa upande wake hawezi kufanya nao kazi ,huo ni ubaguzi ambao wasisi wa taifa hii waliukataa
Wengine wanajiona wao ndo wana hati miliki ya nchi hii na kuona wengine ni takataka ,sijui wanatupeleka wapi hawa watu,
Umoja na mshikamano hamna tena,watanzania tunabaki na kuendelea kuishi Kama maadui kwenye nchi yetu
Nimesoma na kuelewa sera ya vyama hivi viwili nimeamua kuchagua moja imara na bila kushawishiwa na mtu nimetumia akili yangu na nimejiridhisha na kuona nimechagua sehemu bora zaidi
Uonevu wa viongozi na matamko inayotugawa sisi wananchi naona kabisa tukiendelea kukaa kimya ni kwamba tunapoteza hii nchi
Tunakushukuru kwa uliyoyafanya Ila tupishe tu mkuu tumekuchoka pamoja na hayo uliyofanya wewe nenda tu tuachie nchi yetu pendwa
Nchi hii ni ya wananchi si ya kiongozi fulani ,katiba ya nchi imara hulinda raia wake na kumfanya kiongozi kuheshimu raia wake.
Asante Mungu wewe ni mkuu na utaendelea kuwa mkuu siku zote,hakika neno lako ni lazima litimie,