Hahahaha! Nimecheka hadi jirani ameshtuka,yaani mna mambo,ngoja nijilockdown kwanzaCutelove ni mrefu nyuma kajazia,Depal ni mnene kwa juu lakn nyuma naye yumo ingawa sio sana!! toa kura yako
Ahhaaa jamani,sio mimi huyoPicha ya cutylove hii hapaView attachment 1417900
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanna die?!
Ila kwa sauti nzuri hakuna anaekupita hawachiCorona inauwa Wapendwa
Haiwezekani nina sauti ya kibabe
sauti ya kibabe mdanganye nani Mina ally hakufikiiHaiwezekani nina sauti ya kibabe
Ushawahi isikia sauti yangu mkuu 🤔
Si kweli 😀😀😀
Naona id zinakuchanganya jf nyuma ya keyboard, unaweza kuta id mojaJamii forum imejaliwa kuwa na warembo weng,lakn nimeona nichukue hiz sample mbil na watu mpge kura zenu il tujue ni nan ataibuka mshind
Mshind atashndanishwa na Money penny kutoka kund B,karibun