Kura za maoni CCM,mgombea aambulia kura moja,ana mke na watoto waliopiga kura kijijini kwake

Je familia yake wanajua kusoma na kuandika?
 
familia inataka baba awe karibu nao na aachane na ubize wa uongozi
 
Hapo ujue mpaka anaoishi nao(family)wanaona hafai kuwa kiongozi,kwahiyo anajipenda mwenyewe ndo maana alipata kura 1 tu
 
Kuna jamaa yangu amegombea chaguzi ya ndani ccm,kapata kura 15,mwenyekiti anayemaliza muda wake ambaye akubaliki kapiga 200 kila mtu anashangaa,ccm kama kawaida baada ya undundu wanaofanyiana wanakaa chini kuyamaliza bila hivyo mitaa mingi itaenda upinzani
 
Kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…