Kura za maoni CCM,mgombea aambulia kura moja,ana mke na watoto waliopiga kura kijijini kwake

Sipati picha siku alivyotoka kwenye uchaguzi alivyokuwa amevimba kwa hasira baada ya kufika home,hahahaaa kama namuona vile

Unadhani ni neno gani la kwanza alilowatamkia familia yake
 
Dawa ndogo tu unapotea kijijini kama wiki bila kuacha hela ya mboga
 
Huko Babati kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,ameambulia kura moja kijijini kwake.
Cha ajabu ana mke na watoto kadhaa hapo kijijini

Kaibiwa kura?
Familia imemtosa?
Mimi na wewe hatujui

Inaonesha democrasia ime imarika hapo. Familia Ina uhuru wa kuchagua wanaemuona anafaa uongozi
 
Huko Babati kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,ameambulia kura moja kijijini kwake.
Cha ajabu ana mke na watoto kadhaa hapo kijijini

Kaibiwa kura?
Familia imemtosa?
Mimi na wewe hatujui
Tunawwmbia Ccm bila Polisi na wale jamaa wengine ambao sitaki kuwataja hawawezi pata hata 20%.
Imagine mwana ccm hata wanawe na Mke wake hawampi kura😅😅
 
Huko Babati kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,ameambulia kura moja kijijini kwake.
Cha ajabu ana mke na watoto kadhaa hapo kijijini

A) Kaibiwa kura?
B) Familia imemtosa? [ C ] ✔️
C) Mimi na wewe hatujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…