Kura za Maoni CCM: Shule ya Sekondari Msata yafungwa Kupisha zoezi hilo

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Katika mazingira ambayo si rafiki ki-Elimu leo hii Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Msata ambayo iko Jimbo la Chalinze imefungwa ghafla na kuwalazimu wanafunzi kurudi nyumbani kwakuwa maeneo hayo ya Shule yatatumika katika kumbi kwatia zoezi la kura za maoni za kumachagua Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya CCM.

My Take: Si vyema kuwakosesha Wanafunzi Masomo kwa kulinda interest za watu wachache akina fulani, mkoa wenyewe uko nyuma sana kielimu, hakukuwa na ulazima wowote ule wa kufunga shule hii halafu kesho kutwa kurudi na kutulamu Walimu kuwa hatufundishi....

Next time CCM tumieni vichwa kufikiri
 
Shida iko hapo kwenye bold. Wangetumia vichwa kufikiri, tungekuwa na maendeleo walioyonayo wamalysia!
 
Katika mazingira ambayo si rafiki ki-Elimu leo hii Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Msata ambayo iko Jimbo la Chalinze imefungwa ghafla na kuwalazimu wanafunzi kurudi nyumbani kwakuwa maeneo hayo ya Shule yatatumika katika kumbi kwatia zoezi la kura za maoni za kumachagua Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya CCM.

My Take: Si vyema kuwakosesha Wanafunzi Masomo kwa kulinda interest za watu wachache akina fulani, mkoa wenyewe uko nyuma sana kielimu, hakukuwa na ulazima wowote ule wa kufunga shule hii halafu kesho kutwa kurudi na kutulamu Walimu kuwa hatufundishi....

Next time CCM tumieni vichwa kufikiri

ccm hawana jema,yaani hakuna kitu cha muhimu kwao zaidi ya maslahi yao.
 
Back
Top Bottom