Pre GE2025 Kura za maoni CCM zitakuwa ngumu Sana 2025 kama ilivyokuwa 2015, aliyekatwa mwaka ule sasa ni Katibu Mkuu

Pre GE2025 Kura za maoni CCM zitakuwa ngumu Sana 2025 kama ilivyokuwa 2015, aliyekatwa mwaka ule sasa ni Katibu Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tunaandaana kisaikolojia tu 2025 hautakuwa mwepesi kwa Wagombea Ubunge wa CCM

Nakumbuka kwenye mazishi ya Laigwanani Lowassa CCM iliwakilishwa na Hussein Bashe na Rostam Aziz waliotokea Vatican kuonana na baba mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro wa Kanisa Moja Takatifu La Mitume

Ni hayo tu

Mlale Unono 😀😀🔥
 
Piss kali mwenye chest nginjanginja ananyoroka na wakongwe....😂
 
Kwa hiyo kina Mwana FA na Tale Tale mnawafurusha?

Bila kusahahau kina Katambi, na Waitara na Silinde,

Itakuwa kivumbi na jasho,
Tuombe uzima tuyashuhudie haya,
Ameeen
 
Mtarudi hapa kusema mmeibiwa kura

CCM iacheni ndugu zangu

Mpaka Sasa Vyama vya upinzani hawana mgombea aneuzika kwenye hoja zaidi ya kuonyesha tako limeingia risasi mara pepeyee

Vyama vya upinzani vimepoteza sauti ya Umma kwa kudeal na vitu vya kijinga kijinga

Kiufupi vyma vya upinzani vimepoteza wanasiasa vijana wenye hoja na uwezo wa kujenga hoja vimebaki na vijana wa kuibua vituko, uzushi nk

Niambie Baada ya akina Zitto, waitara ni kijana gani wa Chadema ana uwezo wa kusimamia hoja yake jukwaani dk 7 na ikapenya kwa raia?

Jibu ni hayupo now Chadema Ina vijana wa kawaida kabisa na Ili uwe maarufu Chadema anzisha akaunti Twitter na utukane matusi viongozi wa serikali, utaitwa Kamanda , Shujaa , mwamba

Ila ukimchukua mtu huyo mwambie zungumza na Umma wa watanzania ni aibu🤣
 
Umesoma vizuri bandiko husika Mkuu!?
 
Mtarudi hapa kusema mmeibiwa kura

CCM iacheni ndugu zangu

Mpaka Sasa Vyama vya upinzani hawana mgombea aneuzika kwenye hoja zaidi ya kuonyesha tako limeingia risasi mara pepeye...
Kwa hiyo Msigwa altokea wapi,
Nikukumbushe, alipokelewa na kamati kuu ikiongozwa na Mkt na Rais Ikulu,

Pia kuna wiotoka upinzani wakapewa Hadi uwaziri, hivyo hoja yako ni ufatani mtupu,
 
Back
Top Bottom