Mtarudi hapa kusema mmeibiwa kura
CCM iacheni ndugu zangu
Mpaka Sasa Vyama vya upinzani hawana mgombea aneuzika kwenye hoja zaidi ya kuonyesha tako limeingia risasi mara pepeyee
Vyama vya upinzani vimepoteza sauti ya Umma kwa kudeal na vitu vya kijinga kijinga
Kiufupi vyma vya upinzani vimepoteza wanasiasa vijana wenye hoja na uwezo wa kujenga hoja vimebaki na vijana wa kuibua vituko, uzushi nk
Niambie Baada ya akina Zitto, waitara ni kijana gani wa Chadema ana uwezo wa kusimamia hoja yake jukwaani dk 7 na ikapenya kwa raia?
Jibu ni hayupo now Chadema Ina vijana wa kawaida kabisa na Ili uwe maarufu Chadema anzisha akaunti Twitter na utukane matusi viongozi wa serikali, utaitwa Kamanda , Shujaa , mwamba
Ila ukimchukua mtu huyo mwambie zungumza na Umma wa watanzania ni aibu🤣