Good ideaWana Jamii wote na wapenda maendeleo nina wazo moja.Naomba uongozi wa juu wa Jamii forums utoe publically utafit na kura za maoni kama walivyofanya REDET na Synovate.Nadhani hamna kikwazo chochote kukutana na waandishi wa habari na kuyatangaza ili kutoa picha kama uchaguzi ungefanyika leo nani angekua Rais.Nakaribisha maoni kutoka kwa wengine pia.
Tena naona itakuwa more realistic kuliko ya REDET ukizingatia watu ni atleast 8000 na watu ni tofauti tofauti sio makada wa chama tuu kama akina MS.
Naona ni suala la kuamua tuu
Hii ni nzuri ila unajua tatizo la public researches lazima uombe ruhusa serikalini ndipo utoa matokeo ila kwa hali ya mafisadi kupenda kuchakachua sijui kama watakubali. democrasia halisi tz bado!
Kumbe na wewe kihiyo?Kuna kura 5,880 zilipigwa na visitors hapa JF kabla hamjabadili system na kusema members pekee ndo wapige kura.Imekula kwenu sasa.Watu wana analysis zao mkobani na jinsi raiamwema wasio na utaalumu wa online polls walivyozuzuka na kuwafisadi wananchi na kile kichwa cha habari tarehe 22/09/2010.Anguko linakuja.Ngoja ndugu wazidi kujiunga hapa.
Karibu sana Kimefika, na nadhani umeshapiga kura yako hapo juu ili kumuongezea JK idadi.Samahani kidogo,hivi zile online opinion polls results zilizotoka katika RaiaMwema tarehe 22 September si zilitoka huku Jamii Forums?Mmeshadili uongo wake kabla administrator hajabadili utaratibu na kusema member peke yake ndiyo wapiga kura?Nacccccccccccheeeeeka.Limewafika.Mlikimbilia kutoa za mtandaoni,mngejua mngeibakiza kama last nail.
Wana Jamii wote na wapenda maendeleo nina wazo moja.Naomba uongozi wa juu wa Jamii forums utoe publically utafit na kura za maoni kama walivyofanya REDET na Synovate.Nadhani hamna kikwazo chochote kukutana na waandishi wa habari na kuyatangaza ili kutoa picha kama uchaguzi ungefanyika leo nani angekua Rais.Nakaribisha maoni kutoka kwa wengine pia.
Kumbe na wewe kihiyo?Kuna kura 5,880 zilipigwa na visitors hapa JF kabla hamjabadili system na kusema members pekee ndo wapige kura.Imekula kwenu sasa.Watu wana analysis zao mkobani na jinsi raiamwema wasio na utaalumu wa online polls walivyozuzuka na kuwafisadi wananchi na kile kichwa cha habari tarehe 22/09/2010.Anguko linakuja.Ngoja ndugu wazidi kujiunga hapa.
Samahani kidogo,hivi zile online opinion polls results zilizotoka katika RaiaMwema tarehe 22 September si zilitoka huku Jamii Forums?Mmeshadili uongo wake kabla administrator hajabadili utaratibu na kusema member peke yake ndiyo wapiga kura?Nacccccccccccheeeeeka.Limewafika.Mlikimbilia kutoa za mtandaoni,mngejua mngeibakiza kama last nail.