Yaani hadi imekuwa kero......wanavamia tu hata kujitambulisha hawataki, wanavamia tu topiki na kuziharibu sijui wametumwa?Karibu, ni bora ungejitambulisha, ndo mmeamua vibaraka wa mafisadi kuingia na id nyingine ili mumuongezee fisadi mwenzenu kura? Jaribu ila mtaugua vidonda vya tumbo!
Wametumwa na wanalipwa kwa hilo. Mafisadi wanahela bwana! UsipimeYaani hadi imekuwa kero......wanavamia tu hata kujitambulisha hawataki, wanavamia tu topiki na kuziharibu sijui wametumwa?
Samahani kidogo,hivi zile online opinion polls results zilizotoka katika RaiaMwema tarehe 22 September si zilitoka huku Jamii Forums?Mmeshadili uongo wake kabla administrator hajabadili utaratibu na kusema member peke yake ndiyo wapiga kura?Nacccccccccccheeeeeka.Limewafika.Mlikimbilia kutoa za mtandaoni,mngejua mngeibakiza kama last nail.
Naunga mkono. Ikitolewa rasmi na waendeshaji wake basi huo utakuwa ni msimamo kamili na utaweza kuchangia katika kurekebisha hali ya hewa chafu ilivyosababishwa na tafiti bandia za Synovate na REDET. Inatakiwa itolewe katika mkutano wa waandishi wa habari mkubwa uliondaliwa vizuri.
Kwa kiwewe cha kikwete na timu yake ya kampeni, watavizuia vyombo vya habari vinavyomilikiwa na wanaojipendekeza kwa serikali visichapishe au kutangaza matokeo haya . hata kama watayatangaza watatangaza kebehi kwa jamii forum maana sisiem kwa matamshi ya maji taka hakuna anayewashinda hapa duniani!!
Wana Jamii wote na wapenda maendeleo nina wazo moja.Naomba uongozi wa juu wa Jamii forums utoe publically utafit na kura za maoni kama walivyofanya REDET na Synovate.Nadhani hamna kikwazo chochote kukutana na waandishi wa habari na kuyatangaza ili kutoa picha kama uchaguzi ungefanyika leo nani angekua Rais.Nakaribisha maoni kutoka kwa wengine pia.
Najua mnajua na msiojua mjue, na wengi watazidi kujua na hata CCM WANAJUA Kuwa CHADEMA IKO JUU. Habari ndio hiyo.
Hapana, hakuna kitu kama hicho. Hata REDET haijasajiliwa mahali popote. It is just a programme of Dep. of PS and PA, of UDSM period.Watasema JF haiko reguistered kufanya kazi za Utafiti kwa hiyo matokeo yake ni ya uongo.
Tena naona itakuwa more realistic kuliko ya REDET ukizingatia watu ni atleast 8000 na watu ni tofauti tofauti sio makada wa chama tuu kama akina MS.
Naona ni suala la kuamua tuu
Nani asiyejua Tendwa ni another arm of this government? Na nani asiyejua kuwa CCJ pia ilikuwa na connection ya system ya nchi hii? bahati mbaya tu malengo yao yalipigwa chini na watanzania wakatafuta namna ya kuiondoa?I agree with you, kuna wakati media iliipandisha chat CCJ huwezi amini only Tendwa alivyoenda on ground akukta madudu... sasa na wewe subiri October 31st!