Tutaje majina tu bila kuweka maneno mengine najua watasoma hata kama watachukia lakini ujumbe utakuwa umewafikia watawala......Anaweza akawa kiongozi yoyote wa serikali unayemfahamu....anaweza akawa Waziri au Mkuu wa mkoa au yeyote mwenye madaraka..
Hii ni njia mpya ya kuonyesha nini wananchi wanaona baada ya ile njia ya kwenye sanduka la kura kuonekana kuingiliwa na watu " wasiojulikana "
Hii ni njia mpya ya kuonyesha nini wananchi wanaona baada ya ile njia ya kwenye sanduka la kura kuonekana kuingiliwa na watu " wasiojulikana "