Uchaguzi 2020 Kura za maoni Kyela ni kitendawili na zinashtua

Mdomo wake
mdomo wake umemponza hajui kuweka akiba ya maneno ndo shida ya akina Mwa.
 
Kwanza anaulizwa swali kwenye mkutano analeta dharau eti oh! Wewe unaniuliza swali Mimi daktari wa falsafa, Yani ego imezidi yule mnyaki mpaka amejisahau huyo anayemjibu ndo mpiga kura anayemtegemea.
Yule Mzee hajawahi imarika kikamilifu tangu apigwe sumu.
 
We ulitakaje? Naona unashindwashindwa tu! Au we ndio Mwakembe Nini? Kauli ndio iliyombwaga Mwakembe!
 
Sio Mwakyembe tuu hata Anjela kapigwa chini..
 
Eti manaibu Waziri wote wamepita, hujasikia yule aliyepigwa chini na Babu Tale?
 


Kauli yake ya "Nina digrii nne siwezi kuambiwa chochote na darasa la saba" imemchinja
 
Wanyakyusa sio watu kama unabisha nenda kaishi nao.MWAKYEMBE ALIKUWA ANA WA FOOL KUMBE WANAMCHEKI TU LEO KAWATEGEA SHINGO WAMEPITISHA KISU.
Mwakyembe ni mzee mhuni pia muongo muongo.
Ukileta unyakyusa Kwa wanyakyusa wanakunyakyusa! Wanyakyusa hawataki mtu yeyote awaletee unyakyusa hata kama wao ni wanyakyusa!!!!
 
Hunui nai u waziri kilimo kapigwa chini na babu tale?
 
Duh! Lakini mbona mawaziri wanaume wote wamepita?
Unaweza kuwa na hoja, lakini umeiwasilisha vibaya. Kwamba Mwakyembe ni waziri pekee mwanaume aliyeshindwa haiwezi kuwa hoja ya maana katika wasilisho lako. Kura haziangalii kigezo cha mwanaume au mwanamke, bali zaidi wapiga kura wa CCM wanaangalia nani kawakatia pochi nene zaidi. Je, Mwakyembe ameifanyia nini Kyela mpaka iwe ajabu kushindwa? Tafuta kwanza sababu zinazoweza kuonekana kabla ya zile zisizoonekana wazi, za kushindwa kwake!
 



Jiulize haya Maswali kwanza.
1.Hao mawaziri wote walioshinda wameingia lini bungeni na wamekua mawaziri kwa kipindi gani?
Halafu linganisha na muda alioingia Mwakyembe na muda aliotumika kama Wazidi na Naibu Waziri.

2. Muulize yeye Mwenyewe Mwakyembe, ana kipi cha kuelezea kama mafanikio kwa Jimbo lake tangu ameingia bungeni?

3. Kwa kipindi chote cha Ubunge imekuaje ameangushwa na wana CCM wenzako kabla hata hajaingia uchaguzi mkuu?

4. Jiulize pia kwanini Wananchi wa Kyela pia wengi wameshangilia anguko lake kama walivyoshangia kwa yule wa Kigamboni?

Kwa kivipi tu,Kati ya hao Mawaziri na Manaibu Waziri huyu Mwakyembe ndiye alikuwepo muda mrefu lakini wanafanya maajabu yoyote na zaidi ana kauli mbavu na alifikiri zile soda na sh 5,000 alizogawa Ndio kinafanana na narudi yake.

Wale darasa la saba na wanawake wanaonuka vikwapa ndio haohao alirudi kuwaomba kura.
Na wangempendekeza Mwakyembe, wapinzani wangelichukua jimbo kama wanaokota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…