Elections 2010 Kura za maoni Voice of America (VoA)

Luteni kamata hiyo, jumuisha kwenye avaraging zako!!!!!
 


Nakubaliana na matokeo haya, na ndicho ninacho wahubiria wana CHADEMA kila siku, ila swali ni hii pekee inatosha? vipi uwasilishaji wake?. Kama hili lisipoangaliwa tutabaki na ujumbe mzuri hadi hapo wananchi watakapo uelewa.
 
Nini Maoni yako kuhusu jinsi kampeni zinavyoendelea

Kuna malumbano mengi
10%
Hakuna ujumbe au mpango unaoniridhisha.
3%
Chama tawala kina ujumbe mzuri.
6%
Upinzani una ujumbe mzuri.
79%

 
BBC Swahili nao wanajiandaa kuleta kura za maoni kuhusu uchaguzi wetu.Nitawajulisha wakianza
 
kila mtu anajua kuwa tar 2 novembaer ni mazishi ya ccm.

jamani wote tuwepo, tusisahau ''vitambaa vyeupe''
 
Jamani si JK asalimu amri na yaishe badala ya kurefusha mapana yenye ncha kali?
 
Hivi mmeshajiuliza hawa synovate waliosema hawakuwahi kufanya utafiti wa nani anafanya vizuri kwenye kampeni wiki mbili tu zilizopita leo haya matokeo waliyatoa wapi? je hakuna uwezekano wa kuwashitaki na huyo mkurugenzi nyang'au tukamrudisha kwao walikozoea kukatana mapanga kabla ya october 31? hawa ndio watakaotuletea matatizo kwa nini tunampa nafasi ya kuendelea kupeta nchini kwetu? au kwa sababu wanawachakachulia chama tawala? naombe expeditiously wenye solution kama iliyowaondoa wakina Waweru wa mwananchi 2005 ifanyike haraka iwezekanavyo, nchi ni yetu watu ni wetu, hatutatumia mapanga kama wao ila tutatumia sheria, tunaomba wanasheria wa CUF na CHADEMA washirikine mara moja
 
voiced of amerca haisililizwi hata na 1% of watanzania

Lete evidence. Nadhani inasikilizwa na ziadi ya Watanzania elfu 2 waliopiga kura za Redirty na Sy-No Vote maana RFA FM na Medium wanarusha matangazo ya VOA. Mimi nimeanza kuisikiliza VOA kabla ya hizi FM hazijaanza kurusha matangazo yao; na kwa taarifa yako sehemu ambazo zilikuwa hazifikiwi na RTD enzi hizo walikuwa wanasikiza zaidi Ujerumani, VOA na BBC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…