Kura za maoni: Yaani ina maanisha ndivyo ilivyokuwa?

Yaani ina maanisha ndivyo ilivyokuwa?View attachment 1534897
Katika kosa la kimataifa litakalo fanywa na viongozi wa ngazi za juu wa ccm ni kutumia kigezo Cha walioshinda Kura za maoni za madiwani na ubunge kupitishwa kupeperusha bendera ya CCM mwaka 2020.

Walioshika nafasi zote za juu Kura za maoni ni kundi lililokubalika kwa wajumbe wachache ndani ya CCM kupitia kutoa rushwa na kushinda kura za maoni ,wakipitishwa kugombea na upinzani litakuwa kosa la kihistoria katika uchaguzi mkuu ujao ndani ya CCM.
 
Inshallah naomba na Iwe hivyo! Mungu wape upofu wawaweke hao hao!
 
Bahati mbaya sana wengi ndio kwanza tuna yasikia...
 
Aisee engueni wote ila sio Ndugulile chaguo letu, mkicheza tu msitulaumu.
 
Du kama wale wa Shinyanga wote vimeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…