GE2025 Kura za maoni zimefanya niwadharau Arusha mjini na Segerea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mama diwani

Member
Joined
Aug 6, 2025
Posts
77
Reaction score
142
Inakuwaje mnachagua mbunge mamluki aliyeishi jimboni miaka miwili tu Arusha mna akili kweli

Segerea mnachagua Barabara mbovu jimboni
 
Inakuwaje mnachagua mbunge mamluki aliyeishi jimboni miaka miwili tu Arusha mna akili kweli

Segerea mnachagua Barabara mbovu jimboni
Arusha mjini wanachagua au ccm? Ccm uchaguzi wao wa ndani ni wa maelekezo
 
Halafu baada ya kuwadharau ndio watakuwaje?
 
Ila Bora Arusha ila wasegereaaaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kwani hakuna wagombea wengine yoka vyama tofauti na CCM? Wapeni support hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…