Elections 2010 Kura za Rais kutangazwa majimboni

Kitu ni simple..watangaze matokea kamili ya kila jimbo. Watu wanatakiwa wawe na uwezo wa kujumlisha wenyewe! Mbona marekani watu walijua rais kabla hiyo tume yao haijatangaza? Ivi kuna majimbo mangapi Tanzania?
Mfano:
Kura za Wabunge:
Fisi Mfamaji - CCM = 13,000
Simba Dume - Chadema = 15,000
Mshindi CHADEMA

Kura za Urais:
Kikwete = 100
Slaa = 27,900
 
Hii nimeipenda. Kiravu kama vile ana akili. Bravooo Kiravu
 

Mkuu hiyo sidhani kuwa inawezekana, sana sana wanachoweza kufanya ni kuchelewa kutangaza majimbo yenye wapiga kura wengi ili kubalancisha pale watakapoona upepo unawaendea kombo, nina uhakika mkoa wa Mwanza, Shy, Tabora inaweza kuwa ya mwisho kutangaza matokeo ili waweze kupata kura wanazohitaji pale watakapoona kuwa hali ya JK ni mbaya.
 
Hii inatia moyo kwa NEC kukubali matokeo yatangazwe majimboni, ZEC nao wamesema ya kwao watatangaza majimboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…