Kura za Siri na Kura za Wazi

Kura za Siri na Kura za Wazi

lwakaja

Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
61
Reaction score
19
Wanaotaka kura za siri wajiorodheshe na wanaotaka za wazi vivyo hivyo zen wakati wa maamuzi zifanyike njia zote
 
Nadhani wapige kura ya siri, then wasitangaze matokeo wasubiri, baadaye wapige kura ya wazi halafu walinganishe matokeo kuona kama kweli hoja wanazotoa wanauwazi ni zakivitendo au nadharia
 
Back
Top Bottom