lwakaja Member Joined Nov 25, 2011 Posts 61 Reaction score 19 Mar 1, 2014 #1 Wanaotaka kura za siri wajiorodheshe na wanaotaka za wazi vivyo hivyo zen wakati wa maamuzi zifanyike njia zote
Wanaotaka kura za siri wajiorodheshe na wanaotaka za wazi vivyo hivyo zen wakati wa maamuzi zifanyike njia zote
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Mar 1, 2014 #2 Nadhani wapige kura ya siri, then wasitangaze matokeo wasubiri, baadaye wapige kura ya wazi halafu walinganishe matokeo kuona kama kweli hoja wanazotoa wanauwazi ni zakivitendo au nadharia
Nadhani wapige kura ya siri, then wasitangaze matokeo wasubiri, baadaye wapige kura ya wazi halafu walinganishe matokeo kuona kama kweli hoja wanazotoa wanauwazi ni zakivitendo au nadharia