Elections 2010 Kura za tunduma zaibukia ngerengere/serengeti

Elections 2010 Kura za tunduma zaibukia ngerengere/serengeti

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Posts
1,093
Reaction score
1,733
Kuna uvumi unaenea kasi kuwa:
-Zile kura za Tunduma, zilirudishwa hadi Zambia
-Zikapakiwa kwenye ndege mbili
-Moja ikatua Ngerengere jeshini (airbase)
-Nyingine ikatua serengeti kwenye hotel moja ya kitalii
-Janjaweed wanazitawanya nchi nzima kwa sasa

Utafiti wetu kwenye Mamlaka ya Anga na Viwanja vya ndege, umepata habari kuwa ni kweli kuna ndege ilitua serengeti ikitokea Zambia, lakini chanzo chetu kikagoma kuthibitisha ndege iliyotua Ngerengere kwa sababu za usalama!

Aliye na zaidi atujuze, au tuachane na uvumi huu, tuelekeze mawazo yetu kwingineko zitakakotokea kura za kamati za ufundi.
 
Back
Top Bottom