Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Mmhh wapnezi wa chadema na wote wa upinzani naona neema inazidi kurtufungua kupitia uchaguzi wa ccm hivi majuzi kuna kura nyingi za kawe zimekutwa msituni za kugombea ubunge na udiwani ambapo zikataka kumtawaza mmoja wa mafisadi kabla ya vijukuu vya mtume kutumia upeo wao kama sio roho mtakatifu kuzifukua zilipo na kura kuonyesha bi fulan kashinda b...\hii ni za ubunge na udiwani je nyie wapendwa wetu ccm october za silaa wetu mtaweka wapi jamani??embu wanachadema tufungue macho twendeni tukaweke wawakilishi wetu misituni na kila sehemu zinazojulikana tena tukiwa na silaa kali maana hawa oct watarusha bastola kabisa....tuamke wapendwa tuachane na wizi wa kipuuzi wa kuchana jalada la majina