wao wanakuja kila wakati kuchakachua maamuzi ya wenzao.. ndivyo ilivyokuwa hata wakati ule wakati DARUSO wamefanya hivi TAHLISO wanafanya vile.. yawezekana vyombo hivi viwili vina mitazamo yenye itikadi za kisiasa na hivyo kuwagawa wanafunzi wa elimu ya juu?
Kwanini asante kwa tamko hili. Invisible naomba nisaidie kuliatach kwenye posti yangu ya mwanzo, natumia mobile, options za attachment bado hazijawa activated.TAMKO LA TAHLISO KWA UMMA KUTAARIFU JUU YA UPOTOSHWAJI
WA HABARI ZINAZOHUSU UPIGAJI WA KURA KWA WANAFUNZI WA
VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA.
Fungua attachment kuendelea.
lazima utaratibu ufuatwe sio anaibuka na kuanza kutoa matamko kwa watu wanaomsomesha.....Uongozi wa Vyuo vya Elimu ya Juu, TAHLISO, umelikana tamko la Mwenyekiti wake aliloipa serikali saa 72 kuamua hatma ya wanafunzi hao, kwa kusema alijisemea kwa nafsi yake, na alilitoa kwa kutumwa na kikundi fulani bila kukitaja.
Katibu Mkuu wa TAHLISO, amezungumza leo na waandishi wa habari katika ukumbi wa Karimjee na kusema takwimu zilizotolewa sio takwimu halisi, kwani wanafunzi wa mwaka wa kwanza, watapigia kura walikojiandikishia, wakati wale wa mwaka wa 3 na wa nne, ndio wameshamaliza vyuo hivyo wasingepigia vyuoni.
Hata wale wa mwaka wa pili, wako kwenye mafunzo kwa vitendo hivyo bado wasingepia vyuoni.
Katibu huyo ametoa mwito kwa wanafunzi wote wa vyuo vya elimu ya juu, kuwa huru kupigia kura walikojiandikishia.
Wametoa shutuma nzito kwa Mwenyekiti wao kutumiwa kwa kutoa tamko bila kuwashirikisha, hivyo amevunja katiba yao na kujifukuzisha kazi!.
Nimehudhuria Press Conference hii na nilipowauliza kuhusu tuhuma za kutumiwa, viongozi hao waliishia kujikanyakanyaga, ila pia hata hiyo press release yao ya kurasa 4! sii bure!.
Asante Joyce, naungana na wewe, kwa heshima ya kiafrika mtoto hatoi amri kwa mzazi wake na kumpa altimatum ni ukosefu wa nidhamu ndio maana akaonekana kama anatumiwa. Hii press conference ya jana ya katibu wa Tahliso, na yeye alikuwa akiisoma karatasi huku anajiuma uma, ishara inayoonesha ameandikiwa!, hivyo na wao pia wanatumiwa.lazima utaratibu ufuatwe sio anaibuka na kuanza kutoa matamko kwa watu wanaomsomesha.....
katibu katumwa.............. hebu katibu tupe kifungu kinachokupa nafasi ya kutamka mabaya ya bosi wako kama ulivyofanya........... ALIYECHAGULIWA KWA KURA HUONDOLEWA KWA KURA NA SI VINGINEVYO.Huyu jamaa anaposema wanafunzi wa mwaka wa pili wangekuwa field anakosea kwani field tayari zimeisha, pili engineering wanafanya kozi miaka 4, hivyo mwaka wa tatu walitakiwa kuwa vyuoni pia.
Kwa maana nyingine waliotakiwa kuwa vyuoni ili wapige kura ni kama ifuatavyo
-Mwaka wa kwanza wanaoingia mwaka wa pili.
-Mwaka wa pili wanaoingia mwaka wa tatu
-Mwaka wa tatu wanaoingia mwaka wa 4 (Engineering,medicine na baadhi ya kozi pale SUA)
-Mwaka wa nne wanaoingia mwaka wa tano (Medicine na baadhi ya kozi pale SUA)
Pia hao viongozi wa TAHLISO hawawakilishi wanafunzi kwani karibu wote walimaliza vyuo tayari. Mfano huyo mwenyekiti alimaliza chuo, sasa anawakilisha wanafunzi wapi? Ili uwe kiongozi wa TAHLISO sifa ya kwanza lazima uwe mwanafunzi. Uanafunzi unapokoma na uongozi unakoma siku hiyo hiyo, nafasi inakuwa wazi mpaka uchaguzi ufanyike.
TAHLISO ni wachakachuaji sana tunawajua,wanatumiwa sana na chama fulani cha siasa. Kuna mtoto wa kiongozi mkubwa wa chama fulani ndiye anatumika kuunganisha chama na hiyo TAHLISo. Siku za karibuni baada ya janja yake kujulikana amekuwa anamtumia kijana mwingine ambaye alimaliza mlimani 2008 na aligombea ubunge mtwara mwaka huu kwenye chama ila kura hazikutosha.
Mimi nilishangaa sana mwaka huu TAHLISO ilianza kuonekana kuchukua mtazamo tofauti na tuliouzoea pale mwenyekiti wake alipoanza kutoa matamko kuhusiana na wanafunzi kutopiga kura. Kumbe alikuwa anapingwa hata na wenzie (mamluki) kwenye TAHLISO.
Huyu jamaa anaposema wanafunzi wa mwaka wa pili wangekuwa field anakosea kwani field tayari zimeisha, pili engineering wanafanya kozi miaka 4, hivyo mwaka wa tatu walitakiwa kuwa vyuoni pia.
Kwa maana nyingine waliotakiwa kuwa vyuoni ili wapige kura ni kama ifuatavyo
-Mwaka wa kwanza wanaoingia mwaka wa pili.
-Mwaka wa pili wanaoingia mwaka wa tatu
-Mwaka wa tatu wanaoingia mwaka wa 4 (Engineering,medicine na baadhi ya kozi pale SUA)
-Mwaka wa nne wanaoingia mwaka wa tano (Medicine na baadhi ya kozi pale SUA)
Pia hao viongozi wa TAHLISO hawawakilishi wanafunzi kwani karibu wote walimaliza vyuo tayari. Mfano huyo mwenyekiti alimaliza chuo, sasa anawakilisha wanafunzi wapi? Ili uwe kiongozi wa TAHLISO sifa ya kwanza lazima uwe mwanafunzi. Uanafunzi unapokoma na uongozi unakoma siku hiyo hiyo, nafasi inakuwa wazi mpaka uchaguzi ufanyike.
TAHLISO ni wachakachuaji sana tunawajua,wanatumiwa sana na chama fulani cha siasa. Kuna mtoto wa kiongozi mkubwa wa chama fulani ndiye anatumika kuunganisha chama na hiyo TAHLISo. Siku za karibuni baada ya janja yake kujulikana amekuwa anamtumia kijana mwingine ambaye alimaliza mlimani 2008 na aligombea ubunge mtwara mwaka huu kwenye chama ila kura hazikutosha.
Mimi nilishangaa sana mwaka huu TAHLISO ilianza kuonekana kuchukua mtazamo tofauti na tuliouzoea pale mwenyekiti wake alipoanza kutoa matamko kuhusiana na wanafunzi kutopiga kura. Kumbe alikuwa anapingwa hata na wenzie (mamluki) kwenye TAHLISO.
kamwaga ugali upi, viongozi wa TAHLISO huchaguliwa kutoka na Maraisi wa vyuo mbali mbali na mara nyingi hufanya kazi kwa kujitoleaNilisema toka mapema Chadema forums imetanda hadi vyuoni,ona sasa kamwaga ugali kwa ujinga!