Ndugu wanajamii,hebu tukumbushane,hivi Mgaya alisema wafanya kazi kura wampe Dr Slaa au nani? Wafanyakazi wa serikali,kampuni binafsi,wa majumbani,wa mashambani,waliojiajiri wenyewe n.k.Alisema kura ni kwa Dr Slaa au nani?Naomba tukumbushane tena jamani,siku zinakaribia.Pia wekeni kadi za kupiga kura vizuri. TUKUMBUSHANE WAKUU
\\mkuu mambo vipi?
Mkuu huna haya ya kujiuliza mara mbili mbili na kufikiria mgaya alisema kura ni kwa nani
mkuu kura yako ni kwa chadema tu na si vinginevyo kaka
sio wafanyakazi tu bali hata wake zao na watoto pia na mademu na nyumba ndogo kura kwa slaaaaa